Barua Pepe

customer@kifijo.co.tz

Tupigie

0763-917896

Kids Collection

Kwa Watoto wetu warembo na ma-handsome wanaotupa Furaha ya kweli kwenye maisha yetu, KIFiJO Clothing Center tunazo nguo nzuri kwa ajili yao, tunazo nguo za kushindia hadi za ibadani au za mtoko, Bei zetu ni Rafiki.

Pangusa(swipe) picha kwenda kushoto kuona nguo zilizopo dukani. Duka lipo Mzumbe Changarawe Kwenye Fremu za Dr. Mero

CATEGORY A: NGUO MBALIMBALI ZA WATOTO
CATEGORY B: More Kids Wear Collection