KWA MAHITAJI YA NGUO ZA WATOTO ZA MTUMBA!.
Tunazo Nguo za watoto wa rika zote zilizo safi, zenye ubora na bei nafuu kabisa! — zipo za mavazi ya kawaida (casual),za kushindia, za kuvaa ibadani au kwenye sherehe!
Pangusa(swipe) picha kwenda kushoto kuona nguo zilizopo dukani. Duka liko Mzumbe Changarawe kwenye Fremu za Dr. Mero